Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
UMBALI KILOMITA MOJA TU
BEI ELFU THEMANINI MALA STA
80,000X6
SIFA ZA NYUMBA
NI CHUMBA SINGO CHOO CHAKE CHA NNJE MWENYEWE NA JIKO LAKE MWENYEWE ZURI LA MAKABATI
INA TILES JIPSAM
DILISHA KIOO IPO NDANI YA FENS MAZINGIRA MAZURI
USALAMA WA KUTOSHA
SIMU
0712656027