Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KISASA
#INAPANGISHWA 100,000/=
--------------------------------
📌Mahali:KIMARA SUKA (DSM)🇹🇿
Umbali: 2.5Km Bajaji 800/=
__________________________
MUUNDO
✔️Chumba Master Kubwa
✔️Ndani Ya Fensi
✔️ Wapangaji Wawili
✔️ Public Toilet
✔️Nyumba Ya Kisasa
✔️Maji Yana flow ndani
___________________________
HUDUMA
✔️Maji (yapo dawasa)#Dawasa
✔️Umeme _LUKU :2
📌Mazingira Tulivu Sana
➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 100,000\/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 6 + Mwezi 1 wa dalali
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=