Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 150,000 x 1 Tu KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 4 ) KWENYE COMPSUND MOJA NDANI YA FENSI
UMBALI WA KILOMETA ( 1 ,5 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRII WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
CHUMBA MASTER SEBULE
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637