Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= × 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#AIR-CONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#INAYOPANGISHWA NI YA CHINI NDUGU MTEJA (SIO GOROFANI)
BEI NI 250,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI UNATEMBEA DK 1 UPO KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300