Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT YA KISASA KIBACHELA INAPANGISHWA SIO YA KUIOKOSA NDUGU MTEJA UTAJILAUMU BEBA PESA KABISA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO LA PEMBENI ZURI
LUKU INAJITEGEMEA
PAVING
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI MSELELEKO KABISA NI 170K X 6
APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI PKPK SH 1000
NB: MTEJA ANAHAMA LEO UCK KUONA NA KULIPIA NI RUKSA
Kupelekwa site Elfu 15,000
0713320608
0686334182