Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,0000X6) KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO 3
INAKUWA WAZI 1.5.2025 KODI 250,000X6
LOCATION KIMARA TEMBONI KM 1 USAFIRI BAJAJI 500
UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA VIWILI 2 VYA KULALA
UKUBWA WA WASTANI
#JIKO KUBWA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO
YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING
BLOCK
INAKUWA WAZI TAREHE 1.5.2025 AU KABLA YA HAPO
CONTACT US:-
0716223412
0683597453