Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA MPYAA
NDANI YA FENCE, USALAMA
MASTER BEDROOM NA JIKO ''SINGLE''
KUBWA SAANA YA KIBABE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 *KODI YAKE 150K X4
*ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU HAMSINI, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.*
#MASTER BEDROOM NA JIKO''SINGLE''
#TILES
#GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME METER YAKE
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
🏘️APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
HIZI ROOMS MPYA ZIPO 3 KWENYE FENCE, LAKINI FENCE YAKE SIO YA KULAZA GARI
Simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37