Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 250,000

(250,000X6)KIMARA BARUTI DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 30/10/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET YA NDANI KWA NDANI
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 3 KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24

BEI NI 250,000/= X 6

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI YA KUELEKEA CHUO KIKUU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

NOTE:- APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO NA KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453

dalali_goba_goba_goba_goba_goba
dalali_ubungo_ubungo_kimara_
dalali_goba_goba_goba_goba_goba

Similar items by location

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

*APARTMENT NZURI SANA* *NDANI YA FENCE* *INAPANGISHWA**KIMARA TEMBONI*💥 *KODI YAKE 180K X 4**ILIPWE...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

##APARTMENT FOR RENT KIMARA STOP OVER💎CHUMBA CHA KULALA💎SEBULE💎JIKO NZURI (OPEN KITCHEN)💎CHOO CH...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

#STAND_ALONE_NYUMBA_INAYOJITEGEMEA_YENYEWE_KWENYE_FENSI_YAKE FAMILIA KUBWA #SEBULE KUBWA #VYUMBA 3 V...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA #KIMARA BARUTI #0652472014ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/10/20...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

*APARTMENT NZURI SANA*NDANI YA FENCE* *INAPANGISHWA**KIMARA TEMBONI*💥 *KODI YAKE 180K X 4*ILIPWE LA...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

KODI 120,000 x 5 KIMARA MWISHO MASTER BEDROOM & JIKO MPYAAA ZINAPANGISHWA ZIPO ( 6 . ) TU NDAN...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#KODI 250K MALIPO MIEZI X 6NEW APARTMENT MPIYA MPIYA LOCATION KIMARA KOROGWE KWA MKUWA KUTOKA MAIN R...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

STAND ALONE NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE FAMILIA KUBWA #SEBULE KUBWA #VYUMBA 3 VY...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

NEW NEW APARTMENT MPYA WAHI MTEJA #BEI 350#MASTER KUBWA#SEBULE KUBWA#JIKO OPERN KITCHEN MAKABATI#CHO...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

NEW NEW APARTMENT MPYA WAHI MTEJA #BEI 350#MASTER KUBWA#SEBULE KUBWA#JIKO OPERN KITCHEN MAKABATI#CHO...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/10/2025 WASTANI MASTER ZURI LEN...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/10/2025 KU...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI #MASTER BERD ROOM KUBWA NA JIKO#CHUMBA CHENYE...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Apartment Classic For Rent ✨️ Zipo 4 Kwenye Fence Location: KIMARA STOP OVER Unaweza Ukapitia Kimara...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

🇹🇿House For Rent #Stand Alone Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence Location: KIMARA STOP OVER Distanc...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

*APARTMENT NZURI SANA*NDANI YA FENCE* *INAPANGISHWA**KIMARA TEMBONI*💥 *KODI YAKE 180K X 4*ILIPWE LA...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

KODI 120,000 x 5 KIMARA MWISHO MASTER BEDROOM & JIKO MPYAAA ZINAPANGISHWA ZIPO ( 6 . ) TU NDAN...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/10/2025#SEBULE WASTANI#CHUMBA M...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 12KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1KUPELEKWA KUONA NY...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT ZINAPANGISWA LOCATION KIMARA STOP OVER ‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐------------------------------- SOMA KWA...