Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara korogwe klingule
🕑2km Kutoka Mwendokasi, Bajaji 500 Tu, Ukishuka Unatembea dakika 2 Mpaka Nyumba Au Boda Boda 1000 tu
#SIFAZAKE
🔹chumba seble Master
🔹Sebule
🔹open kitchen
🔹Umeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani
*HAINA FENCE*
🔶Kodi Tsh 300, 000×6 miez
🔶Malipo ya Dalali Tsh 300, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347