Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(230,000 × 4,5,6) KIMARA MWISHO
Apartment nzuri sana inapangishwa
UMBALI KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI
USAFIRI UPO WA UHAKIKA
BAJAJI 700
BODABODA 1000
.
SIFA ZAKE
#######
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO ZURI LENYE KABATI
LUKU YAKE
MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA
PAVING BLOCKS SAFI
MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU
.
KODI NI 230,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MINNE (4)
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300