Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
200,000 TEMBONI
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #200k
=====
chumba Cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko
Bei:200,000 × 6
fence itajengwa,umeme inajitegemea
Umbali KM 1.4
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
=Itakuwa wazi tarehe 20 / 8 /2024
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI