Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


——
APARTMENT MPYA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA NI DK 5 TUU KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD YA MWENDO KASI
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA KIZURI
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI NDIO LINAJENGWA
#CHOO CHAKE KIZURI CHA NDANI KWA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
‼️ZIPO APARTMENTS 2 TU
BEI NI 250K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO #KIMARA_SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
Kupelekwa kweny nyumba elfu kumi na tano itadumu mpaka unapata nyumba dalali mwenzi mmoja
ITAKUWA WAZI TAREHE 5 WA MWENZI KUMI KUONA KULIPIA RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUEPO
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747