Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(150,000X6)KIMARA MWISHO 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BODABODA ELF MOJA.. UNAWEZA KUTEMBEA PIA
➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI #BEI 150K
✔️CHUMBA KIKUBWA MASTER
✔️JIKO NDANI
❌HAKUNA SEBULE HAPA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU 2 TU SUBMITER
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
#KUNA WALINZI WA KAMPUNI WAPO 24 HRS KILA MWEZI ELFU 25 ZINGATIA ILO KWA USALAMA WA MALIZAKO ZOTE
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453