Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 180000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
# CHUMBA KIKUBWA
# SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA CHA NDANI 
#JIKO 
#LUKU YAKO MAJI INAJITEGEMEA 
BEI 180000/= X 6 lAKI MOJA NA THEMANINI KODI MIEZI 6 
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMETER 1 BODA ELFU MOJA 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
O679447338 
O753454167




















