Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA MASTER KUBWA
#JIKO ZURI SANA LENYE MAKABATI YA KISASA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
O677370515
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA



















