Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(180,000X6)KIMARA MWISHO 1.8KM KÚTOKA MOROGORO ROAD...BAJAJI NA BODA ZIPO...MIEZI NI SITA FIXED
➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA MWISHO #180k
Chumba cha kulala
Sebule kubwa
Jiko kubwa lenye makabati
Choo ndani
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jiko
Kodi 180,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 1.8 Usafiri bajaji na Boda boda
Kupelekwa kuona nyumba za kupanga elfu 15
CONTACT US:-
0716223412
0683597453