Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT ZINAPANGISHWA ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 01/03/2025 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS ZINAWEKWA FENSI PARKING INAWEKWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA SUBMITER
#MAJI NDANI
#MAFENI KOTE
#TAA NZURI ZA UREMBO
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#PIA UNAWEZA PITIKA KIMARA KOROGWE BODA BUKU
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa