Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI LAKI 250,000 X6 INAPANGISHWA KIMARA MWISHO 
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2 
NYUMBA IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI BARABARA INAYOWEKWA LAMI
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI DALADALA  NI TZ'S 500 TU
SIFA ZAKE ๐ 
CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA MNO YAKUJIACHIA JIKO KUBWA LA KISASA NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE 
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL PERVING BLOCKS 
ZIKO APARTMENTS TATU TU KWENYE COMPOUND MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA 
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA PIA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI ยฒโด/7
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA KWANI BADO HUJACHELEWA 
SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
SIMU 0659336751 WSP 0786085637




















