Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(150,000X6)KIMARA TEMBONI 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖
🏘️APARTMENT NZURI SANA
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥KODI YAKE 150K X6
#MASTER BEDROOM
#SEBULE SAFI
#JIKO SAFI
#UMEME METER YAKE
#MAJI DAWASA METER WANASHARE W2 NA YANAFLO NDANI.
#TILES
#GIPSUM
#SLIDE WINDOW
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
USAFIRI NI:>>
BAJAJI SH 700/=
PIKI PIKI TSH 1,000/=
SERVICE CHARGE 15K.
NA UKIIPENDA NYUMBA NA KUFANYA MALIPO, UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA..
❌NYUMBA HII IPO KWENYE FENCE, USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA, NA HAPA MAFUNDI WAPO KAZINI WANAPIGA RANGI NDANI ❌
🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA 📌
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453