Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#STORE
#PARKING KUBWA
#GARDEN NZURI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#IPO NDANI YA FENSI NZURI YENYE USALAMA WA KUTOSHA
BEI NI 250,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII MPYA IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA KWENDA. KUKAGUA NYUMBA TUNACHAJI SH 20000 SAMBAMBA
NA MALIPO YA DALALI. KODI. YA MWEZI (1)
BAADA YA KULIPIA. NYUMBA PIGA. SIM
0715422099
0784422099
0746 218111