Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Kimara Korogwe
Bei: 400,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Km1 Kutoka Mwendokasi. Barabara Ya Zege
☑️Chumba Sebule Jiko Choo
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Fensi & Parking Ya Kutosha
☑️Full Ac Sebuleni
☑️Reserve Tank & Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 20,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
Whatsapp: O677370515
Call:O688991244