Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(200,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200K × 6
🇹🇿 KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO 𝗬𝗔 𝗠𝗜𝗘𝗭𝗜 YAPO YANAONGELEKA NDUGU MTEJA
💥 APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO(SOMA MAELEZO KWA UMAKINI)
#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
#SEBULE KUBWA
#CHOO CHA PUBLIC CHA KWAKE NDANI KWA NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
‼️HAKUNA JIKO
#PAVING
#CAR PARKING
🏘️APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU AU UKIPANDA BAJAJI SH 500 UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
💰 BEI NI 200,000 × 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300