Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINAPANGISHWA;#KIMARA MWISHO
#CHUMBA_MASTER_SEBULE_NA_JIKO
š§Location ::KIMARA MWISHO UMBALI WA KILOMETA 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
š§Bei :: 180,000 Kwa Mwezi
KODI MIEZI 6
Muundo wa Nyumba;
šChumba Master
šSebule
šJiko
šUmeme Luku yako
šFenced kabisa
šMaji mita yako pia
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia; 0659244543