Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(200,000X 6)KIMARA MWISHO 2.3KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖➖➖
MPYAA MPYAA MPYAA MPYA
APARTMENT NZURI YA KISASA ZIKO MBILI ZINAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#ICHUMBA KIKUBWA MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET NJEE
⚡️#LUKU MITA INAJITEGEMEA
🤝#MAJI DAWASA YANAFROW NDANI
NB;NYUMBA FENCE BADO KIPANDE KIDOGO WANAMALIZIA KUJENGA USALAMA UPO WAKUTOSHA
💰BEI NI 200,000/= X MIEZ 6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
.. KUTOKA MAIN ROAD HADI KWENYE NYUMBA KM 2.3...USAFIRI BAJAJI 1000..UKISHUKA DK 1 UPO NDANI
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453