Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(220,000X6)KIMARA KOROGWE BAJAJI 500
➖➖➖➖➖➖➖
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
INAKUA WAZI TAR 05/01/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA
.
KODI NI 220,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
SIFA ZAKE
=========
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
.
.
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA LUKU SABMITA NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
CONTACT
0716223412
0683597453