Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/09/2024 AU MAPEMA ZIADI YA HAPO
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#PUBLIC TOILET
#KUNA SEHEMU AMBAYO UNAWEZA KUFANYA CHUMBA CHA KULALA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#FENSI IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME (ULINZI NI WA UHAKIKA NDUGU MTEJA)
#PARKING
BEI NI 350,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU USAFIRI NI BAJAJI SH 50O NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐ฅ APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/09/2024 AU MAPEMA ZIADI YA HAPO NA KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
Contact 0712474756