Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 #APARTMENT MPYA INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍 Eneo: Kimara Korogwe
🕑 Umbali: Dakika 8---10 kutoka stand ya mwendo kasi, usafiri kwa boda TZS 1,000/=
#SIFAZAKE
🔹 Chumba kikubwa sana
🔹 JIKO kubwasana
🔹 Sebule kubwa
🔹 Umeme: wako (unajitegemea)
🔹 Maji yanapatikana masaa 24
🔹 Ndani ya fensi
Choo chainje Cha Kwako pekeyako
👉 – ndugu mteja wahi haraka!
#GHARAMA
🔶 Kodi: TZS 200,000/= × miezi 6
🔶 Malipo ya Dalali: TZS 200,000/=
🔶 Service Charge: TZS 15,000/=
📞 Wasiliana:
#Follow_us 🙏
Karibu sana, mteja
0713661530_0783661530



















