Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA SUKA
KODI:: 100,000X6
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 1,5
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA NA SEBULE
#CHOO CHA NJE
#MNASHEA WAWILI
UMEME PIA WAWILI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SAFI USALAMA UPO WAKUTOSHA
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI USAFIRI NI BAJAJI SH ELFU 1 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Call 0659244543