Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(280,000 ร 3) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ง๐๐ ๐๐ข๐ก๐
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI MPYAA KABISA DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
--------
Chumba kizuri
Sebule
Jiko zuri la kisasa
Choo kizuri ndani
Slide windows
Maji yanaflow ndani
Luku unajitegemea
Maji unajitegemea
Ndani ya fence mlinzi getini
Parking space kubwa
HAP NJOO NA KISIMBUZI TU TISHI ACHA
AZAM NA DSTV
---------
Kodi 280,000/= ร 3
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja
-----------
Contact:
0654101710
0742737310
0787205300


















