Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAKUA WAZI TAR 30/03/2024 KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NA CHOCHOTE ILI IKISHAKUA WAZI NDO UMALIZIE ELA INARUUSIWA
===============
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
==============
.
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
=============
.
IPO KIMARA KOROGWE KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 4 UPO NYUMBAN
===============
.
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI LA NJE KWA PEMBEN APO
===============
.
APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
==============
.
INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO
===============
.
SERVICHAJ ELIFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
==============
.
CONTACT