Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA KUBWA INAPANGISHWA BEI 200,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,000/= X 6
APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2KM USAFIRI NI BAJAJI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI