Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Apartment Mpya Zinapangishwa
Mahali: Kimara Mwisho
Bei: 300,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 4
Km2 Kutoka Mwendokasi.
☑️Master Sebule Jiko
☑️Choo Cha Wageni
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Fensi & Parking Ya Kutosha
☑️Reserve Tank & Dawasa Maji 24/7
Service charge ni shilingi 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300
#NB: Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏