Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(200,000 × 5,6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢
NI APARTMENT NZURI MNOOO
.
INAKUA WAZI TAR 05/01/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NI RUKSA KABISA
.
INAPANGISHWA 200K
.
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
UMBALI KM 2.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 1000 UKISHUKA TU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI
.
NI APARTMENT 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA
.
SIFA
====
CHUMBA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI
PARKING SPACE IPO
PERVING BLOCK SAFI
MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU
.
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
.
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝗮𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300