Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KIMARA KOROGWE INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA KOROGWE
DK 5 TOKA MAIN ROAD.
KODI NI 170,000×6
CHUMBA MASTA NA SEBULE,
UMEME LUKU MITA SHARE W2
MAJI DAWASCO MITA YA MAJI SHARE W2 NA YANATOKA NDAN.
NDANI YA UZIO WA BATI
ZIPO APARTMENT 2 NDANI Y COMPOUND 1
KWA KUTEMBEA DAKIKA 5.
KARIBUNI
0712656027