Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APPOINTMENT FOR RENT APARTMENT INAPANGISHWA MAHALI ILIPO DARESALAAM TZ ENEO KIMARA STOP OVER UMBALI WA KM 1 BODA 1000
KATIKA COMPOUND MOJA ZIPO APARTMENT MBILI TU MOJA NDIO IPO WAZI
NI APARTMENT YA KIBACHELA
YENYE
MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO ZULI LA KISASA LENYE MAKABATI TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA PAVING BLOCK GETI
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI TATU 300K
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA Dalali PINDI ULIPIAPO PANGO
KWA MATANGAZO YAKIBIASHARA+whatsup+255715777904
CONT+255788145810
Karibuni sana dalalimichaelkanyerere_mbz_kmr
maikokanyerere904@gmail.com