Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


*APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
*MASTER BEDROOM SEBURE & JIKO
*NDANI YA FENCE
*INAPANGISHWA
*KIMARA TEMBONI
💥 *KODI YAKE 250K X4 AU 200K X6//
📌 *ILIPWE LAKI MBILI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA, AU 250K X4.
*SIFA ZAKE NI:_
⚡ *MASTER BEDROOM KUBWA
⚡ *SEBURE KUBWA
⚡ *JIKO SAFI NA MAKABATI YAKE
⚡ *PUBLIC TOILET
⚡ *TILES
⚡ *GIPSAM
⚡ *ALMINIUM
⚡ *MAJI DAWASA METER YAKE
⚡ *MAJI YANAFLOW NDANI
⚡ *UMEME LUKU YAKE
⚡ *PARKING / GARI MOJA TU
⚡ *FULL PAVING BLOCKS
🏡 *APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.
*BAJAJI TSH700/=
*BODA TSH1000/=
🏃🏻♂️ *HII ITAKUA TAYARI KUHAMIA TAR 01/ 12/ 2024. CHANGAMKA,:🏃🏻♂️
🇹🇿🏡 *KARIBUNI SANA📌
CONTACT:: 0672 673363