Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA STOP OVER
KODI 250,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI LA OPEN KITCHEN
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 4 KWA MGUU
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
INAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 2/10/2024
UKIMKUTA MPANGAJI UTAONA NDANI ASIPO WEPO BASI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
HII YA JUU NDO INAKUWA WAZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 1/2/2025
=====÷
##0655256419
##0760830706