Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
BEBA PESA USIJE KUTALII HII SI YA KUKOSA!!
‼️INATAKIWA KODI YA MIEZIX6
APARTMENT INAPANGISHWA NZURI SANA KIMARA SUKA
CHUMBA CHA KULALA MASTER NA SEBULE NAJIKO
UMEME WAWILI
NA MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
BEI 150,000 KWA MWEZIX6
NDANI YA FENCE PARKING IPO 🚐🛺🏍️
UMBALI KM 1 KUTOKA KITUONI BAJAJI ZIPO 500 UKISHUKA TU SEKUNDE 0 UMEFIKA
KUONA NYUMBA ELFU 15 ⬅️
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 👈
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37