Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT HIZO HAPO MOJA IPO WAZI INAPANGISHWA IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KUTOKA BARABARANI KILOMETERS 1 TU
SIFA ZAKE
CHUMBA SEBULE JIKO NA CHOO NDANI UMEME INAJITEGEMEA MAJI YANATOKA NJE
BEI YAKE
lAKI MOJA NA THEMANINI 180x6 KODI MIEZI SITA
KUONYESHWA NYUMBA TSH 15000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258