Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #200K
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani ( master bedroom)
Jiko ndani (open kitchen)
Inajitegemea umeme na maji
Kodi 200,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 1.7 kutoka Temboni kituoni, Bajaji zipo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
#0710614024
#0688653940__