Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA š„
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
š„ KODI YAKE 150K X4 //
šļø ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.
SIFA ZAKE NI:_
ā” CHUMBA CHA KULALA
ā” SEBURE SAFI
ā” PUBLIC TOILET YA NDANI.
ā” JIKO SAFI LA NJE
ā” TILES
ā” GIPSAM
ā” ALMINIUM
ā” MAJI DAWASA METER YAKE
ā” MAJI YANAFLOW NDANI
ā” UMEME SHARE W2
ā” PARKING
KUBWA
ā”FULL PEVING
ā”GARDEN SAFI
š” APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM1.5.
BAJAJI TSH700/=
BODA TSH1000/=
+----
š¹šæš” KARIBUNI SANA
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI