Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(270,000X4)KIMARA STOPOVER DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD 
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
✔️ CHUMBA MASTER 
✔️ SEBULE 
✔️JIKO
KODI 270,000X4/5/6
UMEME LUKU YAKO 
MAJI MITA YAKO
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO 
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT NNE NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU 
NA HII MOJA NDO IPO WAZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHALI YA MWEZI MMOJA 
NDUGU MTEJA NYUMBA HII INA PESA YA TAHADHARI YA MWEZI MMOJA 
USISAHAU HILO
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















