Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA KIMARA MWSHO INAPANGISHWA BEI NI 230,000/= X 6 ..BAADA YA APO 250
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU *KWENYE FENSI* MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 230,000/= X 6...BAADA YA APO 250
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWSHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 20 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA