Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA KIKUBWA
#JIKO KUBWA,
#CHOO CHA NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO ULINZI WA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 -4 KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 280,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336