Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
MPYAA MPYAA💥 MPYA MPYAA APARTMENT FOR RENT 💥 BEI NI 150,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
# LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA NDUGU MTEJA BEBA PESA KABISA WAHI
BEI NI 150,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA STOPOVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI BARABARA YA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DAKIKA 15 TUU BODABODA 1,000 HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI 1
SIMU
0712656027