Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 2 KUTEMBEA
SIFA YA NYUMBA NI
Chumba master na
Sebule na
Jiiko zuri inajitegemea umeme na maji nyumba ni ya gorofan
Nyumba ipo ndani ya fence
Hapa panatakiwa wasela
💰BEI YA PANGO NI SH 250,000 X 6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 15,000 ITADUM MPAKA UPATE NYUMBA
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
PIGA SIMU#0625606710
☆☆☆