Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🚨🚨🚨
New Apartments for Rent- Master bedroom & kitchen
• Unajitegemea umeme & maji
• Nyumba ipo karibu sana na lami
• Fenced upande mmoja & parking ipo
📌 Nyumba ni mpya, ukilipia wanamalizia kufunga mabomba ndani
💰 Bei: TZS 250k kwa mwezi
📍 Mahali: KIMARA KONA
📅 Masharti ya Malipo: kuanzia miezi 6
Huduma za Ziada:
• Service charge: TZS 20,000 (itadumu mpaka utakapopata nyumba)
• Gharama ya udalali: Kodi ya mwezi mmoja
Kwa mawasiliano zaidi:
📞 WhatsApp/Piga: O677370515