Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA
KODI 500,000 × 6
Location: KIMARA SUKA
Ipo Upande WA Kushoto Kama Unaenda Mbezi
*SEBULE KUBWA SANA
*DINNING ROOM
*VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
*JIKO KUBWA la KISASA
*PUBLIC TOILET NZURI 🚻
*LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
*ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
*PARKING KUBWA AVAILABLE 🚘
KM 1 USAFIRI NI BAJAJI 700 AU BODABODA 1000 UNAWEZA KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA KUMI
📌HII NYUMBA IPO MAZINGIRA MAZURI SANA NA USALAMA UPO WA KUTOSHA
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp