Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







130K. 0759151524
APARTMENT NZURI SANA
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
NIMEISHUSHA BEI SASA..๐
๐ฅKODI YAKE 130K X6
AU UNAWEZA KULIPIA 150K X3๐
#MASTER BEDROOM
#SEBURE SAFI
#JIKO SAFI
#UMEME METER YAKE
#MAJI DAWASA METER WANASHARE W2 NA YANAFLO NDANI.
#TILES
#GIPSUM
#SLIDE WINDOW
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3.
USAFIRI NI:>>
BAJAJI SH 1,000/=
PIKI PIKI TSH 1,500/=
SERVICE CHARGE 15K.
NA UKIIPENDA NYUMBA NA KUFANYA MALIPO, UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA..
โNYUMBA HII HAIPO KWENYE FENCE LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA, NA MAFUNDI WAMESHAMALIZA KAZI YA KUPIGA RANGI NDANI, NYUMBA IPO SAFI โ
๐๏ธ๐น๐ฟKARIBUNI SAANA ๐
0679 956 863
0759151524