Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
250,000 x5,6. KIMARA MWISHO
MPYA MPYA
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko zuri lenye makabati
Bei:250,000 Kwa mwezi ร 6
===
Umbali km 1.5 Usafiri bajaji zipo
Bajaji 700
==
Ndani ya fence parking
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
=== Contact 0712474756